Heri ya sikukuu ya waefanyakazi duniani 2025 Kauli mbiu "Uchaguzi mkuu 2025 utuletee viongozi wanaojali haki na maslahi ya wafanyakazi, ewe mfanyakazi shiriki"
MEI MOSI 2025
Chuo cha Likuyu Sekamaganga kikiwa mstari wa mbele katika maandamano ya Mei Mosi 2025, Kauli mbiu "Uchaguzi mkuu 2025 utuletee viongozi wanaojali haki na maslahi ya wafanyakazi, ewe mfanyakazi shiriki"
HAPPY EASTER
Wishing you a joyful Easter filled with hope, peace, and new beginnings!
MAHAFALI VGS KOZI NA 75
Wahitimu wa Kozi Na. 75 ya Askari Wanyamapori wa Vijiji (VGS) wakiwa na mgeni rasmi katika picha ya pamoja baada ya kuhitimisha mafunzo yao tarehe 05 Aprili 2025.

Wahitimu wa mafunzo ya Askari wa Wanyamapori wa Vijiji (VGS) – Kozi Na. 75, wakiwa katika gwaride la heshima lililofanyika tarehe 5/4/2025 katika Chuo cha Mafunzo ya Uhifadhi wa Maliasili kwa Jamii – Likuyu Sekamaganga.
MAHAFALI VGS KOZI NA 75
Wahitimu wa Kozi Na. 75 ya Mafunzo ya Askari wa Wanyamapori wa Vijiji (VGS), wakitoa heshima kwa mgeni rasmi kupitia gwaride la heshima katika hafla ya kuhitimu mafunzo yao, tarehe 5 Aprili 2025, katika Chuo cha Mafunzo ya Uhifadhi wa Maliasili kwa Jamii.
MAHAFALI VGS KOZI NA 75
Wahitimu wa mafunzo ya Askari wa Wanyamapori wa Vijiji (VGS) – Kozi Na. 75, wakiwa katika gwaride la heshima lililofanyika tarehe 5/4/2025 katika Chuo cha Mafunzo ya Uhifadhi wa Maliasili kwa Jamii – Likuyu Sekamaganga.
MAHAFALI VGS KOZI NA 75
MERRY CHRISMAS
MAHAFALI YA NNE
Parade ya kwata mchanganyiko iliyofanyika katika mahafali ya Chuo cha Uhifadhi wa Maliasili kwa Jamii Likuyu Sekamaganga ilikuwa mahafali ya kipekee ambayo iliunganisha uhifadhi, utalii na vijana wenye shauku ya kundeleza sekta ya utalii Tanzania.

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii CP. Benedict Wakulyamba akikabidhi cheti kwa muhitimu wa Astashada ya Utalii na Uongozaji Watalii katika mahafali ya nne.
MAHAFALI YA NNE
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii CP. Benedict Wakulyamba akikabidhi cheti kwa muhitimu wa Astashada ya Utalii na Uongozaji Watalii katika mahafali ya nne.
MAHAFALI YA NNE
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii CP. Benedict Wakulyamba akikabidhi cheti pamoja na zawadi kwa muhitimu wa Astashada ya Utalii na Uongozaji Watalii katika mahafali ya nne.
MAHAFALI YA NNE
UZINDUZI WA GESI ASILIA
CP. Wkulyamba azindua mradi wagesi asili Chuo cha Mafunzo ya Uhifadhi wa Maliasili kwa Jamii - Likuyu Sekamaganga
UWEKAJI JIWE LA MSINGI
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili Na Utalii CP. Wakulyamba akiweka jiwe la msingi kwenye ujenzi wa darasa jipya
UWEKAJI JIWE LA MSINGI
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili Na Utalii CP. Wakulyamba akiweka jiwe la msingi kwenye ujenzi wa darasa jipya
NAIBU WAZIRI WA MALIASILI
Naibu waziri wizara ya Maliasili na Utalii, Mhe. Dunstan Kitandula (Mb) alipotembelea Chuo cha Uhifadhi wa Maliasili Kwa Jamii - Likuyu Sekamaganga
NAIBU WAZIRI WA MALIASILI
Naibu waziri wizara ya Maliasili na Utalii, Mhe. Dunstan Kitandula (Mb) alipotembelea Chuo cha Uhifadhi wa Maliasili Kwa Jamii - Likuyu Sekamaganga
MAHAFALI YA VGS
Wahitimu wa mafunzo ya VGS wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi katika hafla ya kuhitimisha mafunzo ya VGS kozi maalum na 21 ya mwaka 2024.
MAHAFALI YA VGS
Wahitimu wa mafunzo ya VGS wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi katika hafla ya kuhitimisha mafunzo ya VGS kozi maalum na 21 ya mwaka 2024.
Welcome and thank you for visiting Our website. I am Jane Nyau, the Principal for Community Based Conservation Training Centre (CBCTC) - Likuyu Sekamaganga.
The Centre’s primary role is to offer Community Based Natural Resource Management Training (CBNRM) to local people in order to enable them to participate fully in conservation and sustainable utilization of wildlife resources so as to improve their livelihood....
Community Based Conservation Training Centre (CBCTC) - Likuyu Sekamaganga is among training Institutions managed by the Ministry of Natural Resources and Tourism under Wildlife Division. It was established in July 1995 as a result of joint effort of the United Republic of Tanzania (Ministry of Natural Resources and Tourism) in collaboration with The Federal Republic of Germany (under Gtz). The Centre is registered by the National Council for Technical and Vocational Education and Training (NACTVET) with registration number REG/SAT/46.....